MwanaHALISI TV
MwanaHALISI TV
  • Видео 10 205
  • Просмотров 45 226 355

Видео

MANZESE WAFUNGA MADUKA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI YA MBUNGE KITILA MKUMBO 'AMETUTENGA'
Просмотров 8 тыс.2 часа назад
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( 255 767 400402), 🔘WhatsApp ( 255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
SERIKLI YASITISHA UKAGUZI WA MASHINE ZA EFD KARIAKOO/KERO 41 ZAIBULIWA
Просмотров 872 часа назад
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( 255 767 400402), 🔘WhatsApp ( 255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
HALI TETE KARIAKOO MGOMO NGOMA BADO MBICHI
Просмотров 2052 часа назад
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( 255 767 400402), 🔘WhatsApp ( 255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
CHALAMILA AWA MKALI WAFANYABIASHARA KUGOMA 'MNATAKA TUWAONDOE WACHINA '
Просмотров 5264 часа назад
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( 255 767 400402), 🔘WhatsApp ( 255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
SIKIA ALICHOZUNGUMZA MAKONDA NA RAIS SAMIA KWA NJIA YA SIMU MBELE YA WANANCHI ARUSHA
Просмотров 6434 часа назад
SIKIA ALICHOZUNGUMZA MAKONDA NA RAIS SAMIA KWA NJIA YA SIMU MBELE YA WANANCHI ARUSHA
ONESMO OLENGURUMWA AWA MBINU WANAFUNZI VYUO VIKUU JINSI YA KUTOBOA
Просмотров 1304 часа назад
ONESMO OLENGURUMWA AWA MBINU WANAFUNZI VYUO VIKUU JINSI YA KUTOBOA
RC CHALAMILA ATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA K/KOO WANAOTAKA KUGOMA
Просмотров 4947 часов назад
RC CHALAMILA ATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA K/KOO WANAOTAKA KUGOMA
DUH JAMAA AKILI KUBWA "BUNGE LITUSIKILIZE WAFANYABIASHARA BAJETI INATUFANYA TUWE WAHUJUMU UCHUMI"
Просмотров 9 тыс.7 часов назад
DUH JAMAA AKILI KUBWA "BUNGE LITUSIKILIZE WAFANYABIASHARA BAJETI INATUFANYA TUWE WAHUJUMU UCHUMI"
HIVI NDIO NAMNA YA KULIPA DENI LAKO LA MAEGESHO YA GARI
Просмотров 869 часов назад
HIVI NDIO NAMNA YA KULIPA DENI LAKO LA MAEGESHO YA GARI
DC ILALA, MKURUGENZI DAR WATOA WITO KWA WANAODAIWA MADENI YA MAEGESHO KULIUPA MADENI YAO
Просмотров 1569 часов назад
DC ILALA, MKURUGENZI DAR WATOA WITO KWA WANAODAIWA MADENI YA MAEGESHO KULIUPA MADENI YAO
TLP KUPATA MRITHI WA MREMA JUNI 29, ENG . MAGANZA APIGIWA CHEPUO
Просмотров 1069 часов назад
TLP KUPATA MRITHI WA MREMA JUNI 29, ENG . MAGANZA APIGIWA CHEPUO
UTABIRI WA HALI YA HEWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO JUNI 21, 2024
Просмотров 899 часов назад
UTABIRI WA HALI YA HEWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO JUNI 21, 2024
JAMAA AWA MBOGO MKE WAKE KUKAMATWA KWA KESI YA UKAHABA
Просмотров 24612 часов назад
JAMAA AWA MBOGO MKE WAKE KUKAMATWA KWA KESI YA UKAHABA
WAKILI MADELEKA NA JEBRA KAMBOLE WAINGILIA KATI WANAOTUHUMIWA UKAHABA
Просмотров 84912 часов назад
WAKILI MADELEKA NA JEBRA KAMBOLE WAINGILIA KATI WANAOTUHUMIWA UKAHABA
UTABIRI WA HALI YA HEWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO JUNI 20, 2024
Просмотров 9312 часов назад
UTABIRI WA HALI YA HEWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU WA LEO JUNI 20, 2024
ESTER BULAYA AMVAA MWIGULU MIFUKO YA JAMII"LIPENI FIDIA FEDHA MLIZOWEKEZA MIRADI ISIYOKUWA NA FAIDA"
Просмотров 41512 часов назад
ESTER BULAYA AMVAA MWIGULU MIFUKO YA JAMII"LIPENI FIDIA FEDHA MLIZOWEKEZA MIRADI ISIYOKUWA NA FAIDA"
ACT YAMTAKA WAZIRI WA MAMBO YA NJE AJIUZULU KUUAWA KWA MTOTO ASIMWE
Просмотров 12714 часов назад
ACT YAMTAKA WAZIRI WA MAMBO YA NJE AJIUZULU KUUAWA KWA MTOTO ASIMWE
BABUTALE AUMIA SPIKA ALIVYOMSAVE KWENYE SIMU "HEE SPIKA KANISAVE BIGWA KISAKI, MWIGULU FANYA JAMBO"
Просмотров 12814 часов назад
BABUTALE AUMIA SPIKA ALIVYOMSAVE KWENYE SIMU "HEE SPIKA KANISAVE BIGWA KISAKI, MWIGULU FANYA JAMBO"
PAROKO, BABA NA MGANGA WA KIENYEJI WADAKWA NA VIUNGO VYA MTOTO ALBINO ASIMWE
Просмотров 6 тыс.14 часов назад
PAROKO, BABA NA MGANGA WA KIENYEJI WADAKWA NA VIUNGO VYA MTOTO ALBINO ASIMWE
KATIBU WAFANYABIASHARA KWA UCHUNGU "WAPITISHA BAJETI KUTENGENEZA SHEPU MAPENDEKEZO YETU WAMEYATUPA"
Просмотров 45814 часов назад
KATIBU WAFANYABIASHARA KWA UCHUNGU "WAPITISHA BAJETI KUTENGENEZA SHEPU MAPENDEKEZO YETU WAMEYATUPA"
LHRC, THRDC ZAUNGANA KULAANI MAUAJI YA MTOTO ASIMWE "WATOA MSISITIZO wa uchunguzi
Просмотров 20914 часов назад
LHRC, THRDC ZAUNGANA KULAANI MAUAJI YA MTOTO ASIMWE "WATOA MSISITIZO wa uchunguzi
TANZANIA KUJENGA MAJENGO PACHA NCHINI KENYA/WAZIRI MAKAMBA AFUNGUKA "TUTAOKOA FEDHA ZA WALIPA KODI"
Просмотров 29716 часов назад
TANZANIA KUJENGA MAJENGO PACHA NCHINI KENYA/WAZIRI MAKAMBA AFUNGUKA "TUTAOKOA FEDHA ZA WALIPA KODI"
RIPOTI KAMATI YA MAJALIWA YAWAVURUGA WAFANYABIASHARA "RAIS AJITOKEZE AONGEE NA SISI ASITUTELEKEZE"
Просмотров 1,7 тыс.16 часов назад
RIPOTI KAMATI YA MAJALIWA YAWAVURUGA WAFANYABIASHARA "RAIS AJITOKEZE AONGEE NA SISI ASITUTELEKEZE"
WAFANYABIASHARA WAVURUGWA WAAMUA KUTINGA BUNGEN "BUNGE LITUSIKILIZE BAJETI IMEACHA MAPENDEKEZO YETU"
Просмотров 16 тыс.16 часов назад
WAFANYABIASHARA WAVURUGWA WAAMUA KUTINGA BUNGEN "BUNGE LITUSIKILIZE BAJETI IMEACHA MAPENDEKEZO YETU"
HUDUMA ZA NMB ZAFIKIA ZAIDI YA VIJIJI 500
Просмотров 1316 часов назад
HUDUMA ZA NMB ZAFIKIA ZAIDI YA VIJIJI 500
SHEIKH PONDA ATOA WARAKA WA EID 'MWIBA KWA SERIKALI'
Просмотров 64716 часов назад
SHEIKH PONDA ATOA WARAKA WA EID 'MWIBA KWA SERIKALI'
RAIS SAMIA AGUSWA NA KIFO CHA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA NA KUKATWA VIUNGO VYAKE
Просмотров 3,5 тыс.19 часов назад
RAIS SAMIA AGUSWA NA KIFO CHA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA NA KUKATWA VIUNGO VYAKE
MPINA AKALIA KUTI KAVU/SPIKA ATAKA AFIKISHWE KAMATI YA MAADILI
Просмотров 6 тыс.19 часов назад
MPINA AKALIA KUTI KAVU/SPIKA ATAKA AFIKISHWE KAMATI YA MAADILI
WANAHARAKATI, WANASIASA VIJANA WAKUTANA KUJADILI KUZIMWA KWA MITANDAO
Просмотров 238День назад
WANAHARAKATI, WANASIASA VIJANA WAKUTANA KUJADILI KUZIMWA KWA MITANDAO

Комментарии

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 36 минут назад

    Bunge lenyewe kuna shida ya maslahi.. !! Ni kupoteza muda tu. Kenya ni smart sana

  • @user-kb6pz9dk8n
    @user-kb6pz9dk8n 36 минут назад

    Ingieni barabarani ndio suruhisho

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 42 минуты назад

    Msilalamike fanyeni kama kenya acheni kuregeza ulimi myaka yote raiya wa tz wanakuwa kama hawanahaki uaonaikikaribiya uchaguzi wanapita wakiomba kura wakipata tu basi wote waliyobaki hawana haki raiya wanaishi maisha yatabu myaka yote wanapewa maneno matam wanaregeya.simameni mkagombee haki zenu.ila msifanye uharibifu .nendeni ikulu mkaome kuongeya na mama yenu .wa tz mmepooza sana .

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 Час назад

    Kama ni kweli mwenye mtaji 50,000,000 unakuja kumdai 700 ,000,000?!!!ww unaedainess hivi kweli una akili?au ww pia una biashara n'a un alipà hivyo? Nindiqué watu wa kodi mnamatatizo gani?Au kwa kuwa mmepewa tu mamlaka hayo?

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 часа назад

    Lipeni Kodi na tuache janja janja Ila Watumishi wasio waadilifu waondolewe faini zingine Sidhani hata kama zinafika Serikalini

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 часа назад

    Mtu yupo na milion.moja heti kod 450000.tra.lesen 100000.sevilev 108000 bado usafi bado uliznz bado dod ya nyumba kujilipa mwenyewe kiukwel kazi ngum

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 2 часа назад

    Kodi haiwezi shuka kwasababu ma v8 hayawezi tembea

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 4 часа назад

    Ilikua nakuona mtu poa kumbe boya biashala za kaliakoo wafanya biashala wanashindana wenyewe kwa wenyewe kwa bei musho w siku unakuta faida wanazo pata ni ndogo kutokana ushindani w kibiashala ila kichwa maji kama ww kutoka mkoa usioijua biashala unaaza kuleta tamaa tawn penyewe umeletwa tu we ludi mbeya dar aupawezi asila nyigi umekosa busala muogope mtu ambae anajitafuta mwenyewe we selengeti boy kua mpole

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 часа назад

    Huyu mpuuzi anasema kwamba mama hapendi kodi za dhuruma..hivi hajui kwamba masuala yanayohusu kodi na tozo nimaswala yanayomuhusu rais Kila kodi lazima rasi asaini halafu inapelekwa bungeni wabunge kazi yao nikusema ndio Ikiisha pita inarudi kwasamia samia anasaini sasa inaingia mtaani kufanya kazi Halafu haka kadudumtu kanasemanmama hapendi dhuruma Kaka huyo sio mama yako

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 часа назад

    Kila mtu mama mama mama kwani utafikiri wote hapa hamna mama zenu Kataeni ushenzi

  • @user-lt1nr4tk9r
    @user-lt1nr4tk9r 7 часов назад

    Acha uchiz wewe Kwanza umeshasema utawafanya Kama ulivyo mfanya manji Yan Jambo lipo bungen na linatakiwa kupitia wewe waongea pumba tu Katina pia mliona watanzania hawna akili mkapitisha mnayo yajua nyie wat wamechoka na vitisho

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 9 часов назад

    Yaani, wanampinga make raisi,.. Nchi ya ajabu hii.. Kodi zikusanywe waibe basi na Sisi tuangalie... Tuchinjane hapa ili tuheshimiane kama nchi zingine

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 9 часов назад

    Wanasaiasa sio watu wa kuwasikiliza

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 9 часов назад

    Kauli ni moja mwigulu hafai na mama amemkumbatia wore hatuwahitaji.. Wapishe tutafute wapinza chadema wajaribu tena

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 9 часов назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 9 часов назад

    Akili kubwa sana

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 13 часов назад

    Dai aki achana na ujane wala mwanamke wala kusifu rais sheria ni kila kitu nchi yetu inaendedhwa kiujima enzi izoo utazani ndipo imezariwatz

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 13 часов назад

    Servce revy ni sawa na kikokotoo tozo za wafanya biashara mwiguru atawamaliza

  • @AdelinaAloys
    @AdelinaAloys 15 часов назад

    Wakati mwngne wa Tz wenye akili wanajiuliza hivi chombo kikubwa cha Bunge mnakomedi maisha ya watu kisa ni pesa za bure na nyingi mnazopata? Waite wanasheria kama waziri wa kilimo na fedha hawakuvunja sheria mpaka kusamehe kodi ni wizi mtupu na bunge mnafanya unafiki?

  • @samuelayo-ol4ft
    @samuelayo-ol4ft 17 часов назад

    BUNGE.LA.CHAMA.KIMOJA.HUWA.NI.BUNGE.LA.HOVYO.HOJA.ZA.KUSIFIANA.HATA.KAMA.MBOV

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 17 часов назад

    Sasa wananchi waungwana gomeni mpaka majibu yapatikane sio kuanza kukata tamaa mmoja mmoja hii serikali ina jambo lake! Ndio mpeni masifa ndipo atajibu matatizo ya wananchi kwa maelekezo...

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 17 часов назад

    Hapo kwenye mama mnazingua

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 17 часов назад

    Rais Hana sifa za kuongoza hii nchi amepachikwa tu matzo yoote chazo ni uongoz mbovu Toka juu mbona kpndi Cha magu hatujackia haya

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 17 часов назад

    Mama Samia out kama ruto

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 17 часов назад

    Shida ni Samia anabembeleza wez wanafanya wanachokitaka nyinyi ni wajinga et mama yetu wajinga nyie

  • @samuelayo-ol4ft
    @samuelayo-ol4ft 17 часов назад

    watanzania.tumechoka.sana.na.bunge.la.tanzania.lakini.mungu.yupo.ipo.siku.mtasikia.bunge.nyumbani.kwenu

  • @user-my7fj6wn7y
    @user-my7fj6wn7y 17 часов назад

    Kodi mpaka kuku,ngombe kondoo mbizii,hadi takataka

  • @samuelayo-ol4ft
    @samuelayo-ol4ft 17 часов назад

    Acheni.kutunza.maovu.katika.bunge.semeni.kweli.

  • @samuelayo-ol4ft
    @samuelayo-ol4ft 17 часов назад

    TOWENI.HUKUMU.MBAYA.LAKINI.TUTAKUTANA.UCHAGUZI.MKUU.MUNGU.YUPO.

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 17 часов назад

    Pesa za maauzo yabandari haitoshi nanyinyi mchangie kodi ni ndogo sana mnalipa. Badotaisoma number

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 17 часов назад

    Makonda Dar es Salaam bado tunakuhitaji.Njoo utuokowe sasa hivi kuna mgomo

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 18 часов назад

    Serikali inajeuli sana haitaki kusikiliza wananchi,angalieni yanayo jili kenya

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 18 часов назад

    Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao wawekezaji kibiashara

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 45 минут назад

      ❤ nimekupenda mama unajitahidi kuandika nimekukuta Kila mahali

  • @user-so2si9dt9u
    @user-so2si9dt9u 19 часов назад

    Mama Samia hapo hakuna uchunguz wanyongwe tu tumechoka sana

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 19 часов назад

    Asante sana wadau . 7:00 Tumebaki na kodi za kikoloni zilizo kua zinazuia wazawa kufanya biashara

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 19 часов назад

    Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 19 часов назад

    Ninyi manzese vichwa vigumu,msikilize kiongozi wa mwanza wa wafanyabiashara alivyosema,sheria zibadirishwe.sio mama yetu ssH

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 19 часов назад

    Yaani itatuchukua muda sana kuwa na akili,mnaye muomba ndio anatia Saini,ndio anayekopa nje sasa ninyi.mna akili kusema YETU tunaomba rudini shule vichwa viwe na akili

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 19 часов назад

    Acheni ujinga mmeambiwa Kila Sheria ya fedha zinazohusu fedha,rais ndio anatia saini.nanyi mnasema mama YETU atusikilize.pumbavu sana manzese

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 20 часов назад

    Maandamano jamani tunayaita kwa nguvu.. Hali ni tete mno mtaani...

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 20 часов назад

    What kind of discussion is all about for the country responsible for its residents ?

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 20 часов назад

    Eti mama yetu mpedwa samia stupid sana samia nae ni hivi ni raisi hayo yanatokea kwa sababu mama yetu samia hana level na sifa ya kuwa kiongozi wa taifa kubwa Africa kama bongo

  • @user-bx3kl4hn6j
    @user-bx3kl4hn6j 20 часов назад

    Hili mwigulu ni bonge la fisadi

  • @user-bx3kl4hn6j
    @user-bx3kl4hn6j 20 часов назад

    Hii nchi inashida nyingi mkima hataiyona shamba, mjenzi nae hataiyona mbao

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 20 часов назад

    Mbona mota vieko walitoa

  • @adisonjason1066
    @adisonjason1066 21 час назад

    Huo ndio uongozi mungu akupe maisha marefu uwe mfano wa kuigwa

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 23 часа назад

    Swala sio mama kutamka Shelia zibadilishwa ndio utakuwa msngi wawafanya biashara matamko yanatolewa kila siku hakuna utekelezaji kwasababu matamko na Sheria vinatofautiana

  • @peterrandego1489
    @peterrandego1489 23 часа назад

    Tatizo kwenye Kodi hizo za kiuni ni mwigulu hata magu alimfukuza kwa matendo yake hayo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 час назад

      Sio mchemba ni Sheria Zetu. Sheria Zetu shida tunatunga bila kuzingatia mazingira fulani fulani. Hivyo zinatoa mwanya wa rushwa na ukandamizaji. Kodi Zetu kipimo kinatakiwa kiendane na mapato sio aina ya biashara. Tatizo mfano lesseni ya hardware kubwa na ndogo viwango sawa. Viwanda vidogo na vikubwa viwango sawa huku ukweli uchumi unatwambia kiwanda kikubwa na kidogo haviwezi kuwa na gharama sawa za uzalishaji. Na mara nyingi viwanda vidogo hûwa na gharama kubwa za uzalishaji. Ila Kwa uzoefu wetu tozo tz Kwa bidhaa zinalinganishwa. Ugonvi mkubwa upo Kati ya TRA na wazalishaji wa bidhaa zinazo zalisha bidhaa zinalipa kodi ya Zuio. Watendaji wanajua kwamba compliance ni ngumu. Iyo inakaribisha rushwa. Tatizo sheria wakati zinatungwa, hatazamwi kimakini na kizalendo. Zingine ni kana kwamba ni hujuma ya uchumi.

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 23 часа назад

    Ukiona mwezako ananyo lewa ww anza kujitia maji

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 23 часа назад

    Hata sisi wafanyabiashara tunamia msituone kama tunagoma